Maonyo zaidi
1 Kum 17:6;19:15;Mt 18:16;1 Tim 5:19Hii ndiyo mara yangu ya tatu kuja kwenu. Kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno litathibitishwa.