10 Lakini kama mkimsamehe mtu neno lolote, nami nimemsamehe; kwa maana mimi nami, ikiwa nimemsamehe mtu neno lolote, nimemsamehe kwa ajili yenu mbele za Kristo, 11 Shetani asije akapata kutushinda; kwa maana hatukosi kuzijua fikira zake.
Publicidade
Publicidade