Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Wafalme 17:13

SRUV Swahili Revised Union Version

13 1 Sam 9:9;Isa 1:16-20;Yer 18:11;25:5;35:15Pamoja na hayo BWANA aliwashuhudia Israeli, na Yuda, kwa kinywa cha kila nabii, na cha kila mwonaji, akisema, Geukeni, na kuziacha njia zenu mbaya, mkazishike amri zangu na hukumu zangu, sawasawa na ile sheria yote niliyowaamuru baba zenu, nikawapelekea kwa kinywa cha manabii watumishi wangu.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    13 Mwenyezi Mungu akawaonya Israeli na Yuda kupitia kwa manabii na waonaji wake wote: "Acheni njia zenu mbaya. Shikeni amri na maagizo yangu, kufuatana na Torati yangu yote niliyowaagiza baba zenu kuitii, na ambayo niliileta kwenu kupitia kwa watumishi wangu, manabii."

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    13 Bwana akawaonya Israeli na Yuda kupitia kwa manabii na waonaji wake wote: "Acheni njia zenu mbaya. Shikeni amri na maagizo yangu, kufuatana na sheria yangu yote niliyowaagiza baba zenu kuitii ambayo niliileta kwenu kupitia kwa watumishi wangu manabii."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.