9 Hes 11:17-25Hata ikawa, walipokwisha kuvuka, Eliya akamwambia Elisha, Omba kwangu lolote utakalo nikutendee, kabla sijaondolewa kwako. Elisha akasema, Nakuomba, sehemu maradufu ya roho yako na iwe juu yangu. 10 Mdo 1:10Akasema, Umeomba neno gumu; lakini, ukiniona nitakapoondolewa kwako, utalipata; la hukuniona, hulipati.
Publicidade
2 Wafalme 2:9,10
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
9 Walipokwisha kuvuka, Ilya akamwambia Al-Yasa, "Niambie, nikufanyie nini kabla sijaondolewa kutoka kwako?"
Al-Yasa akajibu, "Naomba nirithi sehemu maradufu ya roho yako."
10 Ilya akasema, "Umeomba jambo gumu. Lakini kama utaniona wakati ninapoondolewa kutoka kwako litakuwa lako. La sivyo, hutalipata."
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
9 Walipokwisha kuvuka, Eliya akamwambia Elisha, "Niambie, nikufanyie nini kabla sijaondolewa kutoka kwako?"
Elisha akajibu, "Naomba nirithi sehemu maradufu ya roho yako."
10 Eliya akasema, "Umeomba jambo gumu. Lakini kama utaniona wakati ninapoondolewa kutoka kwako litakuwa lako. La sivyo, hautalipata."
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.