2 Basi Hezekia akajigeuza, akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba BWANA akasema, 3 Neh 13:22;Zab 132:1-5;Isa 38:3;Mwa 5:22,24;17:1;1 Fal 3:6Nakusihi, BWANA, ukumbuke sasa, jinsi nilivyokwenda mbele zako katika kweli na kwa moyo mkamilifu, na kutenda yaliyo mema machoni pako. Hezekia akalia sana sana.
Publicidade
2 Wafalme 20
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.