Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Wafalme 3

6 Akatoka wakati ule ule mfalme Yoramu katika Samaria, akawahesabu Israeli wote. 7 1 Fal 22:4Akaenda akatuma kwa Yehoshafati mfalme wa Yuda, akasema, Mfalme wa Moabu ameniasi; je! Utakwenda pamoja nami tupigane na Moabu? Akasema, Nitakwenda; mimi ni kama wewe, watu wangu ni kama watu wako, farasi wangu ni kama farasi wako.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também