Kuponywa kwa Naamani
1 1 Fal 8:41-43;Lk 4:27;Kut 11:3;2 Fal 4:8;Est 9:4Basi Naamani, jemadari wa jeshi la mfalme wa Shamu, alikuwa mtu mkubwa mbele ya bwana wake, na mwenye kuheshimiwa, kwa sababu kwa mkono wake BWANA alikuwa amewapa Washami kushinda; tena alikuwa mtu hodari wa vita; lakini alikuwa mwenye ukoma.