Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Wafalme 6

15 Kut 24:13Hata asubuhi na mapema mtumishi wake yule mtu wa Mungu alipoondoka, na kwenda nje, kumbe! Pana jeshi la watu, na farasi na magari, wameuzingira mji ule. Mtumishi wake akamwambia, Ole wetu! Bwana wangu, tufanyeje? 16 2 Sam 22:3,31;2 Nya 32:7;Zab 3:3-8;18:2;91:2;Mit 18:10;21:31;Isa 43:1;Rum 8:31Akamjibu, Usiogope; maana walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao. 17 2 Fal 2:11;Zab 34:7;68:17;Zek 1:8;6:1-7;Ebr 1:14Elisha akaomba, akasema, Ee BWANA, nakusihi, mfumbue macho yake, apate kuona. BWANA akamfumbua macho yule mtumishi; naye akaona; na tazama, kile kilima kilikuwa kimejaa farasi na magari ya moto yaliyomzunguka Elisha pande zote.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também