21 Na mfalme Daudi alipoyasikia maneno hayo yote, alikasirika sana. 22 Law 19:17;Mit 10:18;1 Yoh 2:9,11;Efe 4:26,31Ila Absalomu hakusema na Amnoni wala kwa heri wala kwa shari; kwa maana Absalomu alimchukia Amnoni kwa kumlazimisha dada yake Tamari.