Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Samweli 22

5 Maana mawimbi ya mauti yalinizunguka,

Mafuriko ya uovu yakanitia hofu.

6 Kamba za kuzimu zilinizunguka;

Mitego ya mauti ikanikabili.

7 Zab 116:4;Yon 2:2;Kut 3:7Katika shida yangu nilimwita BWANA,

Naam, nikamlalamikia Mungu wangu;

Naye akaisikia sauti yangu hekaluni mwake,

Kilio changu kikaingia masikioni mwake.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também