13 1 Tim 6:3;Tit 2:1Shika mfano wa mafundisho ya kweli uliyoyasikia kwangu, katika imani na upendo ulio katika Kristo Yesu. 14 1 Tim 6:20Ilinde ile amana nzuri kwa Roho Mtakatifu akaaye ndani yetu.