Shukrani na mahimizo
3 Mdo 23:1;24:16;Flp 3:5Namshukuru Mungu, nimwabuduye kwa dhamiri safi tangu zamani za wazee wangu, kama vile nikukumbukavyo wewe daima, katika kuomba kwangu usiku na mchana.