Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Timotheo 1

Shukrani na mahimizo

3 Mdo 23:1;24:16;Flp 3:5Namshukuru Mungu, nimwabuduye kwa dhamiri safi tangu zamani za wazee wangu, kama vile nikukumbukavyo wewe daima, katika kuomba kwangu usiku na mchana. 4 Nikiyakumbuka machozi yako, natamani sana kukuona, ili nijawe na furaha; 5 Mdo 16:1nikiikumbuka imani uliyo nayo isiyo na unafiki, ambayo ilikaa kwanza katika nyanya yako Loisi, na katika mama yako Eunike, nami nasadiki wewe nawe unayo.

Veja também

2 Timóteo
Ver todos os capítulos de 2 Timóteo