19 Hes 16:5,26;Yn 10:14;Isa 26:13;28:16,17Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye mhuri huu,
Bwana awajua walio wake.
Na tena,
Kila aliitaye jina la Bwana na auache uovu.
19 Hes 16:5,26;Yn 10:14;Isa 26:13;28:16,17Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye mhuri huu,
Bwana awajua walio wake.
Na tena,
Kila aliitaye jina la Bwana na auache uovu.
19 Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, ukiwa na muhuri wenye maandishi haya: "Mwenyezi Mungu anawajua walio wake"; tena, "Kila alitajaye jina la Mwenyezi Mungu na auache uovu."
19 Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, ukiwa na muhuri wenye maandishi haya: "Bwana anawajua walio wake"; tena, "Kila alitajaye jina la Bwana, na auache uovu."
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.