3 2 Tim 1:13;1 Tim 4:1Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajikusanyia waalimu wengi, watakaowaambia yale tu masikio yao yanataka kusikia; 4 1 Tim 4:7;2 The 2:11nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
Publicidade