Maagizo binafsi
9 2 Tim 1:4Jitahidi uwezavyo kuja kwangu upesi. 13 Mdo 20:6Lile joho nililoliacha kwa Karpo huko Troa, ujapo ulilete, na vile vitabu, hasa vile vya ngozi.
21 Jitahidi uwezavyo kuja kabla ya majira ya baridi. Eubulo akusalimu, na Pude, na Lino, na Klaudia, na ndugu wote pia.