3 Eze 37:27;Law 26:11-12;Zek 2:10;Isa 8:8Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.21:3 Au hivi, Naye mwenyewe, Mungu pamoja nao, atakuwa Mungu wao.
Publicidade