3 Eze 37:27;Law 26:11-12;Zek 2:10;Isa 8:8Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.21:3 Au hivi, Naye mwenyewe, Mungu pamoja nao, atakuwa Mungu wao.4 Isa 25:8;33:10;35:10;65:19;Ufu 7:17;Yer 31:16Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.
Publicidade