Pular para o conteúdo
Publicidade

Ufunuo 4

8 Eze 1:18;10:12;Isa 6:2-3;41:4;Amo 4:13;Kut 3:14Na hawa wenye uhai wanne, kila mmoja alikuwa na mabawa sita; pande zote na ndani wamejaa macho, wala hawapumziki mchana wala usiku, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu Mwenyezi, aliyekuwako na aliyeko na atakayekuja.

Veja também