22 1 Sam 13:14;16:12,13;Zab 89:20;Isa 44:28;Ebr 1:5;5:5Na alipokwisha kumwondoa huyo, akamwinua Daudi awe mfalme wao ambaye alimshuhudia, akisema, Nimemwona Daudi, mwana wa Yese, mtu anayeupendeza moyo wangu, atakayefanya mapenzi yangu yote.