Pular para o conteúdo
Publicidade

Matendo 16:27,28

SRUV Swahili Revised Union Version

27 Yule mlinzi wa gereza akaamka, naye alipoona ya kuwa milango ya gereza imefunguka, alifuta upanga, akataka kujiua, akidhani ya kuwa wafungwa wamekimbia. 28 Ila Paulo akapaza sauti yake kwa nguvu, akisema, Usijidhuru, kwa maana sisi sote tuko hapa.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    27 Yule mkuu wa gereza alipoamka na kuona milango ya gereza iko wazi, akachomoa upanga wake akataka kujiua, akidhani ya kuwa wafungwa wote wametoroka. 28 Lakini Paulo akapaza sauti kwa nguvu, akisema, "Usijidhuru kwa maana sisi sote tuko hapa!"

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    27 Yule mkuu wa gereza alipoamka na kuona milango ya gereza iko wazi, akachomoa upanga wake akataka kujiua, akidhani ya kuwa wafungwa wote wametoroka. 28 Lakini Paulo akapiga kelele kwa sauti kubwa, akasema, "Usijidhuru kwa maana sisi sote tuko hapa!"

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.