35 Kulipopambazuka mahakimu wakawatuma wakubwa wa askari wakisema, Waacheni watu wale waende zao. 36 Yule mlinzi wa gereza akamwarifu Paulo maneno haya akisema, Mahakimu wametuma watu ili mfunguliwe; basi, sasa tokeni nje, nendeni zenu kwa amani.
Publicidade
Matendo 16:35,36
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
35 Kulipopambazuka wale mahakimu wakawatuma maafisa wao kwa mkuu wa gereza wakiwa na agizo linalosema, "Wafungue wale watu, waachie waende zao." 36 Mkuu wa gereza akamwambia Paulo "Mahakimu wameagiza niwaachie huru, kwa hiyo tokeni na mwende zenu kwa amani."
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
35 Kulipopambazuka wale mahakimu wakawatuma maafisa wao kwa mkuu wa gereza wakiwa na agizo linalosema, "Wafungue wale watu, waache waende zao." 36 Mkuu wa gereza akamwambia Paulo "Mahakimu wameagiza niwaache huru, kwa hiyo tokeni na mwende zenu kwa amani."
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.