Pular para o conteúdo
Publicidade

Matendo 16:37

SRUV Swahili Revised Union Version

37 Mdo 22:25Paulo akawaambia, Wametupiga mbele ya watu wote bila kutuhukumu, na sisi tu Warumi, tena wametutupa gerezani; na sasa wanataka kututoa kwa siri? Sivyo, lakini na waje wenyewe wakatutoe.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    37 Lakini Paulo akawaambia wale maafisa, "Wametupiga hadharani bila kutufanyia mashtaka na kutuhoji, nao wakatutupa gerezani, hata ingawa sisi ni raia wa Rumi. Nao sasa wanataka kututoa gerezani kwa siri? Hapana! Wao na waje wenyewe watutoe humu gerezani."

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    37 Lakini Paulo akawaambia wale maafisa, "Wametupiga hadharani bila kutufanyia mashtaka na kutuhoji, nao wakatutupa gerezani, hata ingawa sisi ni raiya wa Rumi. Nao sasa wanataka kututoa gerezani kwa siri? Hapana! Wao na waje wenyewe watutoe humu gerezani."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.