Kuja kwa Roho Mtakatifu
1 Law 23:15-21;Kum 16:9-11;Mdo 1:14Wakati ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja. 4 Mdo 4:31;10:44-46;19:6Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.