Ziara ya mwisho ya Paulo huko Troa
7 1 Kor 16:2;Mdo 2:42,46Siku ya kwanza ya juma, tulipokuwa tumekutana ili kumega mkate, Paulo akawahutubia, maana aliazimia kusafiri siku iliyofuata, naye akafululiza maneno yake hadi usiku wa manane.