8 Mdo 6:5;8:5,40Asubuhi yake tukaondoka, tukafika Kaisaria, tukaingia nyumbani mwa Filipo, mhubiri wa Injili, aliyekuwa mmoja wa wale saba, tukakaa kwake.
9 Mdo 2:17Mtu huyu alikuwa na binti wanne, mabikira, waliokuwa wakitabiri. 10 Mdo 11:28Basi tulipokuwa tukikaa huko siku nyingi, nabii mmoja jina lake Agabo akashuka kutoka Yudea.