18 Kum 33:3;Isa 35:5;42:7,16;Mdo 20:32;Efe 2:2;Kol 1:13uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuielekea nuru, waziache na nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi.