Pular para o conteúdo
Publicidade

Matendo 7

42 Amo 5:25-27;Yer 19:13Basi Mungu akaghairi, akawaacha ili waliabudu jeshi la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii,

Je! Mlinitolea mimi dhabihu na sadaka

Miaka arubaini katika jangwa, enyi nyumba ya Israeli?

43 Nanyi mlichukua hema ya Moleki,

Na nyota za mungu wenu Refani,

Sanamu mlizozifanya ili kuziabudu;

Nami nitawafahamisha mwende mbali kupita Babeli.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também