Publicidade

Atos 7

44 Kut 25:9,40Ile hema ya ushahidi ilikuwa pamoja na baba zetu jangwani, kama alivyoagiza yeye aliyesema na Musa, ya kwamba aifanye kulingana na mfano ule aliouona; 45 Yos 3:14-17;18:1;Mwa 17:8;48:4;Kum 32:49ambayo baba zetu, kwa kupokezana, wakaiingiza pamoja na Yoshua katika milki ya Mataifa wale, ambao Mungu aliwafukuza mbele ya baba zetu, mpaka siku za Daudi; 46 2 Sam 7:1-16;1 Nya 17:1-14;Zab 132:5aliyepata fadhili mbele za Mungu, naye aliomba ampatie Mungu wa Yakobo maskani. 47 1 Fal 6:1-38;2 Nya 3:1-17Lakini Sulemani alimjengea nyumba. 48 Isa 66:1,2Ila Yeye aliye juu hakai katika nyumba zilizojengwa kwa mikono, kama vile asemavyo nabii,

49 Isa 66:1-2Mbingu ni kiti changu cha enzi,

Na nchi ni pa kuwekea miguu yangu;

Ni nyumba gani mtakayonijengea? Asema Bwana,

50 Au ni mahali gani nitakapostarehe?

Si mkono wangu uliofanya haya yote?

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-