Pular para o conteúdo
Publicidade

Matendo 8:37

SRUV Swahili Revised Union Version

37 Filipo akasema, Ukiamini kwa moyo wako wote, inawezekana. Akajibu, akanena, Naamini ya kwamba Yesu Kristo ndiye Mwana wa Mungu.]

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    37 8:37 Maandiko mengine ya kale hayana aya hii.Filipo akamwambia, "Ukiamini kwa moyo wako wote, unaweza kubatizwa."

    Akajibu, "Naamini kuwa Isa Al-Masihi ni Mwana wa Mungu."]

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    37 Filipo akamwambia, "Kama ukiamini kwa moyo wako wote unaweza kubatizwa." Akajibu, "Naamini kuwa Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu."]

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.