2 Kol 1:26;Efe 3:18ili wafarijiwe mioyo yao, wakiunganishwa katika upendo, wakapate utajiri wote wa kufahamu kwa hakika, wapate kujua kabisa siri ya Mungu, yaani, Kristo; 3 Isa 45:3;Mit 2:3,4;Efe 3:19;1 Kor 1:24,30ambaye ndani yake yeye hazina zote za hekima na maarifa zimesitirika.
Publicidade