Maisha mapya katika Kristo
1 Zab 110:1;Kol 2:12Basi mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu Kristo aliko, ameketi katika mkono wa kulia wa Mungu. 2 Mt 6:33Yafikirini yaliyo juu, siyo yaliyo katika nchi.