Mawaidha kwa familia
18 Efe 5:22—6:9;1 Pet 3:1Ninyi wake, watiini waume zenu, kama ipendezavyo katika Bwana. 19 Efe 5:25;1 Pet 3:7Ninyi waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao. 20 Efe 6:1Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana. 21 Efe 6:4Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, wasije wakakata tamaa.