Vijana wanne wa Israeli katika makao ya mfalme wa Babeli
1 2 Fal 24:1;2 Nya 36:5-7Katika mwaka wa tatu wa kumiliki kwake Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, Nebukadneza,1:1 Au, Nebukadreza. mfalme wa Babeli, alikwenda Yerusalemu akauhusuru.
6 Basi katika hao walikuwapo baadhi ya wana wa Yuda, Danieli, na Hanania, na Mishaeli, na Azaria.