Pular para o conteúdo
Publicidade

Danieli 11:31

SRUV Swahili Revised Union Version

31 Dan 9:27;8:11;12:11;Mt 24:15;Mk 13:14Na wenye silaha watasimama upande wake, nao watapatia unajisi mahali patakatifu, ndiyo ngome, nao wataondoa sadaka ya kuteketezwa ya kila siku, nao watalisimamisha chukizo la uharibifu.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    31 "Majeshi yake yenye silaha yatainuka ili kunajisi ngome ya Hekalu, na kuondolea mbali sadaka ya kuteketezwa ya kila siku. Ndipo watalisimamisha chukizo la uharibifu linalosababisha ukiwa.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    31 "Majeshi yake yenye silaha yatainuka ili kunajisi ngome ya Hekalu, na kuondolea mbali sadaka ya kuteketezwa ya kila siku. Ndipo watalisimamisha chukizo la uharibifu lisababishalo ukiwa.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.