8 Nami nikasikia, lakini sikuelewa; ndipo nikasema, Ee Bwana wangu, mwisho wa mambo haya utakuwaje? 9 Akasema, Nenda zako, Danieli; maana maneno haya yamefungwa, na kutiwa mhuri, hata wakati wa mwisho.
Publicidade
Danieli 12:8,9
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
8 Nilisikia, lakini sikuelewa. Kwa hiyo nikauliza, "Bwana wangu, matokeo ya haya yote yatakuwa nini?"
9 Akajibu, "Danieli, nenda zako, kwa sababu maneno haya yamefungwa na kutiwa muhuri hadi wakati wa mwisho.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
8 Nilisikia, lakini sikuelewa. Kwa hiyo nikauliza, "Bwana wangu, matokeo ya haya yote yatakuwa nini?"
9 Akajibu, "Danieli, enenda zako, kwa sababu maneno haya yamefungwa na kutiwa muhuri mpaka wakati wa mwisho.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.