35 Zab 39:5;33:11;Isa 40:15;46:10,11;1 Sam 3:18;Ayu 34:29;9:12;Isa 45:9na watu wote wanaokaa duniani wamehesabiwa kuwa si kitu, naye hufanya kama atakavyo, katika jeshi la mbinguni, na katika hao wanaokaa duniani; wala hapana awezaye kuuzuia mkono wake, wala kumwuliza, Unafanya nini wewe?
Publicidade