Pular para o conteúdo
Publicidade

Danieli 7

Hukumu mbele ya mzee wa kale

9 1 Kor 15:24;Zab 90:2;104:2-4;Ufu 20:4;1:14Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao. 10 Kum 33:2;Zab 68:17;Mt 25:31,32;Ufu 5:11;20:12Mto kama wa moto ukatoka ukapita mbele zake; maelfu wakamtumikia, na mamilioni wakasimama mbele zake; hukumu ikawekwa, na vitabu vikafunuliwa.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também