6 Asubuhi panda mbegu zako,
Wala jioni usiulegeze mkono wako.
Kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa, kama ni hii au hii, au kama zote zitafaa sawasawa.