6 Kabla haijakatika kamba ya fedha;
Au kuvunjwa bakuli la dhahabu;
Au mtungi kuvunjika kisimani;
Au gurudumu kuvunjika birikani;
7 Mwa 3:19;Mhu 3:21;Mwa 2:7;Hes 16:22Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa,
Nayo roho kumrudia Mungu aliyeitoa.