4 Zab 66:13-14;Mwa 28:20;Hes 30:2;Zab 50:14;Isa 19:21;Yon 2:9Wewe ukimwekea Mungu nadhiri, usikawie kuiondoa; kwa kuwa yeye hawi radhi na wapumbavu; basi, uiondoe hiyo uliyoiweka nadhiri.
5 Mit 20:25;Mdo 5:4Ni afadhali usiweke nadhiri,
Kuliko kuiweka usiiondoe.