Pular para o conteúdo
Publicidade

Mhubiri 9:11

SRUV Swahili Revised Union Version

11 Amo 2:14;Yer 9:23Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    11 Nimeona kitu kingine tena chini ya jua:

    Si wenye mbio washindao mashindano

    au wenye nguvu washindao vita,

    wala si wenye hekima wapatao chakula

    au wenye akili nyingi wapatao mali,

    wala wenye elimu wapatao upendeleo,

    lakini fursa huwapata wote.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    11 Nimeona kitu kingine tena chini ya jua:

    Si wenye mbio washindao mashindano

    au wenye nguvu washindao vita,

    wala si wenye hekima wapatao chakula

    au wenye akili nyingi wapatao mali,

    wala wenye elimu wapatao upendeleo,

    lakini fursa huwapata wote.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.