Pular para o conteúdo
Publicidade

Mhubiri 9:2

SRUV Swahili Revised Union Version

2 Zab 73:3,12,13,17;Mal 3:15Mambo yote yawatukia wote sawasawa; kuna tukio moja kwake mwenye haki na kwake asiye haki; kwa mtu mwema na kwa mtu mwovu; kwa mtu aliye safi na kwa mtu asiye safi; kwake yeye atoaye kafara na kwake asiyetoa kafara; kama alivyo huyo mwema ndivyo alivyo mwenye dhambi; yeye aapaye na yeye aogopaye kiapo.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    2 Wote wanayo hatima inayofanana, mwadilifu na mwovu, mwema na mbaya, aliye safi na aliye najisi, wale wanaotoa dhabihu na wale wasiotoa.

    Kama ilivyo kwa mtu mwema,

    ndivyo ilivyo kwa mtu mwenye dhambi;

    kama ilivyo kwa wale wanaoapa,

    ndivyo ilivyo kwa wale wasioapa.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    2 Wote wanayo hatima inayofanana, mwadilifu na mwovu, mwema na mbaya, aliye safi na aliye najisi, wale wanaotoa dhabihu na wale wasiotoa.

    Kama ilivyo kwa mtu mwema,

    ndivyo ilivyo kwa mtu mwenye dhambi;

    kama ilivyo kwa wale wanaoapa,

    ndivyo ilivyo kwa wale wasioapa.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.