Watu wafunga na kuomba amani
21 2 Nya 20:3;Law 16:29;Isa 58:3,5;Zab 5:8Ndipo nikaamuru kufunga, hapo penye mto Ahava, ili tupate kujinyenyekeza mbele za Mungu, na kutafuta kwake njia iliyonyoka, kwa ajili yetu sisi wenyewe, na kwa ajili ya watoto wetu, na kwa mali yetu yote. 22 1 Kor 9:15;1 Nya 28:9;Ezr 7:6,9;Zab 33:18,19;Isa 3:10;Rum 8:28;1 Pet 3:12;Zab 34:16;2 Nya 15:2Maana niliona haya kumwomba mfalme kikosi cha askari na wapanda farasi, ili kutusaidia juu ya adui njiani; kwa maana tulikuwa tumesema na mfalme, tukinena, Mkono wa Mungu u juu ya watu wote wamtafutao, kuwatendea mema; bali uweza wake na ghadhabu yake ni juu ya wote wamkataao. 23 Kum 4:29;1 Nya 5:20;2 Nya 33:13;Isa 19:22;Yer 29:12,13Basi tukafunga, tukamsihi Mungu wetu kwa ajili ya hayo; naye akatutakabali.
Kurudi Yerusalemu
31 Ezr 7:6,9,28;Ayu 5:19-24;Isa 41:10-14Ndipo tukasafiri toka mtoni Ahava siku ya kumi na mbili ya mwezi wa kwanza, ili kwenda Yerusalemu; na mkono wa Mungu ulikuwa pamoja nasi, akatuokoa na mkono wa adui, na mtu mwenye kutuvizia njiani.