Pular para o conteúdo
Publicidade

Waefeso 2:1,4,5

SRUV Swahili Revised Union Version

Kutoka mauti hadi uhai

1 Kol 1:21;2:13Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa na dhambi zenu; 4 Lakini Mungu, kwa kuwa ni mwingi wa rehema, kwa mapenzi yake makuu aliyotupenda; 5 Lk 15:24,32;Efe 5:14;Rum 6:13hata wakati ule tulipokuwa wafu kwa sababu ya makosa yetu; alitufanya kuwa hai pamoja na Kristo; yaani, tumeokolewa kwa neema.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    1 Ninyi mlikuwa wafu katika makosa na dhambi zenu, 4 Lakini Mungu kwa upendo wake mwingi kwetu sisi, ambaye ni mwingi wa rehema, 5 hata tulipokuwa wafu kwa ajili ya makosa yetu, alitufanya tuwe hai pamoja na Al-Masihi Isa, yaani mmeokolewa kwa neema.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    1 Kwa habari zenu, mlikuwa wafu katika makosa na dhambi zenu, 4 Lakini Mungu kwa upendo wake mwingi kwetu sisi, ambaye ni mwingi wa rehema, 5 hata tulipokuwa wafu kwa ajili ya makosa yetu, alitufanya tuwe hai pamoja na Kristo Yesu, yaani, mmeokolewa kwa neema.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.