16 Efe 1:7;6:10;Kol 1:11awajalieni, kwa kadiri ya utajiri wa utukufu wake, kufanywa imara kwa nguvu, kwa kazi ya Roho wake katika utu wa ndani. 17 Yn 14:23;Kol 1:23;2:7Kristo akae mioyoni mwenu kwa imani mkiwa na shina na msingi katika upendo;