Nyumba ya Kikristo
21 1 Pet 5:5Hali mnanyenyekeana katika kicho cha Kristo.
22 Kol 3:18;1 Pet 3:1;Mwa 3:16Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.
25 Kol 3:19;1 Pet 3:7Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda kanisa, akajitoa kwa ajili yake; 33 Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mumewe.