Pular para o conteúdo
Publicidade

Efésios 5

25 Kol 3:19;1 Pet 3:7Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda kanisa, akajitoa kwa ajili yake; 26 Tit 3:5ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno; 27 Zab 45:13;2 Kor 11:2apate kujiletea kanisa tukufu, lisilo na dosari wala kunyanzi wala lolote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa.

Veja também