26 Tit 3:5ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno; 27 Zab 45:13;2 Kor 11:2apate kujiletea kanisa tukufu, lisilo na dosari wala kunyanzi wala lolote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa.