Pular para o conteúdo
Publicidade

Waefeso 5

31 Mwa 2:24Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja. 32 Ufu 19:7Siri hiyo ni kubwa; ila mimi nanena habari ya Kristo na kanisa.

Veja também